Luka 21:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Ndipo walio katika Yudea na wakimbilie milimani, na walio katikati yake wakimbilie nje, na walio katika mashamba wasiuingie. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Hapo, walioko Yudea wakimbilie milimani; wale walio mjini watoke; na wale walio mashambani wasirudi mjini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Hapo, walioko Yudea wakimbilie milimani; wale walio mjini watoke; na wale walio mashambani wasirudi mjini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Hapo, walioko Yudea wakimbilie milimani; wale walio mjini watoke; na wale walio mashambani wasirudi mjini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Wakati huo, wale walio Yudea wakimbilie milimani, walio mjini Yerusalemu watoke humo, nao wale walio mashambani wasiingie mjini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Wakati huo, wale walio Uyahudi wakimbilie milimani, walio mjini Yerusalemu watoke humo, nao wale walioko mashambani wasiingie mjini. Tazama sura |