Luka 20:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 hata wa tatu akamwoa, na kadhalika wote saba, wakafa, wasiache watoto. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 na ndugu wa tatu vilevile. Mambo yakawa yaleyale kwa wote saba – wote walikufa bila kuacha watoto. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 na ndugu wa tatu vilevile. Mambo yakawa yaleyale kwa wote saba – wote walikufa bila kuacha watoto. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 na ndugu wa tatu vilevile. Mambo yakawa yaleyale kwa wote saba — wote walikufa bila kuacha watoto. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 naye wa tatu pia akamwoa. Vivyo hivyo ndugu wote saba wakawa wamemwoa huyo mwanamke, na wote wakafa pasipo yeyote kupata mtoto. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 naye wa tatu pia akamwoa. Vivyo hivyo ndugu wote saba wakawa wamemwoa huyo mwanamke, na wote wakafa pasipo yeyote kupata mtoto. Tazama sura |