Luka 20:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Kisha baadhi ya Masadukayo wakamwendea, wale wasemao ya kwamba hakuna ufufuo, wakamwuliza, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Kisha Masadukayo, ambao husema kwamba wafu hawafufuki, wakamjia Yesu, wakasema: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Kisha Masadukayo, ambao husema kwamba wafu hawafufuki, wakamjia Yesu, wakasema: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Kisha Masadukayo, ambao husema kwamba wafu hawafufuki, wakamjia Yesu, wakasema: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Baadhi ya Masadukayo, wale wasemao kuwa hakuna ufufuo wa wafu, wakamjia Isa na kumuuliza, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Baadhi ya Masadukayo, wale wasemao kwamba hakuna ufufuo wa wafu, wakamjia Isa na kumuuliza, Tazama sura |