Luka 20:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Nionesheni dinari. Ina sura na anwani ya nani? Wakamjibu, Ya Kaisari. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 “Nionesheni sarafu. Je, sura na chapa ni vya nani?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 “Nionesheni sarafu. Je, sura na chapa ni vya nani?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 “Nionesheni sarafu. Je, sura na chapa ni vya nani?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 “Nionesheni dinari. Je, sura hii na maandishi haya yaliyo juu yake ni vya nani?” Wakamjibu, “Ni vya Kaisari.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 “Nionyesheni dinari. Je, sura hii na maandishi haya yaliyoko juu yake ni vya nani?” Tazama sura |