Luka 2:42 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC42 Na alipofikisha umri wa miaka kumi na miwili, walipanda kama ilivyokuwa desturi ya sikukuu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema42 Mtoto alipokuwa na umri wa miaka kumi na miwili, wote walikwenda kwenye sikukuu hiyo kama ilivyokuwa desturi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND42 Mtoto alipokuwa na umri wa miaka kumi na miwili, wote walikwenda kwenye sikukuu hiyo kama ilivyokuwa desturi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza42 Mtoto alipokuwa na umri wa miaka kumi na miwili, wote walikwenda kwenye sikukuu hiyo kama ilivyokuwa desturi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu42 Isa alipokuwa na umri wa miaka kumi na mbili, walipanda kwenda kwenye Sikukuu hiyo kama ilivyokuwa desturi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu42 Isa alipokuwa na umri wa miaka kumi na miwili, walipanda kwenda kwenye Sikukuu hiyo kama ilivyokuwa desturi. Tazama sura |