Luka 2:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Watu wote wakaenda kuandikwa, kila mtu mjini kwao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Basi, wote waliohusika walikwenda kuhesabiwa kila mtu katika mji wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Basi, wote waliohusika walikwenda kuhesabiwa kila mtu katika mji wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Basi, wote waliohusika walikwenda kuhesabiwa kila mtu katika mji wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Kila mtu alienda kuandikishwa katika mji wake alikozaliwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Kila mtu alikwenda kuandikishwa katika mji wake alikozaliwa. Tazama sura |