Luka 2:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Wote waliosikia wakastaajabu kwa hayo waliyoambiwa na wachungaji. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Wote waliosikia hayo walishangaa juu ya habari walizoambiwa na wachungaji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Wote waliosikia hayo walishangaa juu ya habari walizoambiwa na wachungaji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Wote waliosikia hayo walishangaa juu ya habari walizoambiwa na wachungaji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Nao wote waliosikia habari hizi wakastaajabia yale waliyoambiwa na wale wachungaji wa kondoo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Nao wote waliosikia habari hizi wakastaajabia yale waliyoambiwa na wale wachungaji wa kondoo. Tazama sura |