Luka 2:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Walipomwona wakatoa habari waliyoambiwa juu ya huyo mtoto. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Hao wachungaji walipomwona mtoto huyo wakawajulisha wote habari waliyokuwa wamesikia juu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Hao wachungaji walipomwona mtoto huyo wakawajulisha wote habari waliyokuwa wamesikia juu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Hao wachungaji walipomwona mtoto huyo wakawajulisha wote habari waliyokuwa wamesikia juu yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Walipomwona yule mtoto, wakawaeleza yale waliyokuwa wameambiwa kuhusu huyo mtoto. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Walipomwona yule mtoto, wakawaeleza yale waliyokuwa wameambiwa kuhusu huyo mtoto. Tazama sura |