Luka 19:42 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC42 akisema, Laiti ungalijua, hata wewe katika siku hii, yapasayo amani! Lakini sasa yamefichwa machoni pako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema42 akisema: “Laiti ungelijua leo hii mambo yaletayo amani! Lakini sasa yamefichika machoni pako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND42 akisema: “Laiti ungelijua leo hii mambo yaletayo amani! Lakini sasa yamefichika machoni pako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza42 akisema: “Laiti ungelijua leo hii mambo yaletayo amani! Lakini sasa yamefichika machoni pako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu42 akisema, “Laiti ungejua, hata wewe leo, yale yangeleta amani, lakini sasa yamefichika machoni pako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu42 akisema, “Laiti ungalijua hata wewe leo yale ambayo yangeleta amani, lakini sasa yamefichika machoni pako. Tazama sura |