Luka 19:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC33 Na walipokuwa wakimfungua mwanapunda, wenyewe waliwaambia, Mbona mnamfungua mwanapunda? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Walipokuwa wanamfungua yule mwanapunda, wenyewe wakawauliza, “Kwa nini mnamfungua mwanapunda huyu?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Walipokuwa wanamfungua yule mwanapunda, wenyewe wakawauliza, “Kwa nini mnamfungua mwanapunda huyu?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Walipokuwa wanamfungua yule mwanapunda, wenyewe wakawauliza, “Kwa nini mnamfungua mwanapunda huyu?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Walipokuwa wanamfungua yule mwana-punda, wenyewe wakawauliza, “Mbona mnamfungua huyo mwana-punda?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Walipokuwa wanamfungua yule mwana-punda, wenyewe wakawauliza, “Mbona mnamfungua huyo mwana-punda?” Tazama sura |