Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 19:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

32 Na wale waliotumwa wakaenda wakaona kama alivyowaambia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Basi, wakaenda, wakakuta sawa kama alivyowaambia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Basi, wakaenda, wakakuta sawa kama alivyowaambia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Basi, wakaenda, wakakuta sawa kama alivyowaambia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Wale waliotumwa wakaenda, wakapata kila kitu kama Isa alivyowaambia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Wale waliotumwa wakaenda, wakakuta kila kitu kama vile Isa alivyokuwa amewaambia.

Tazama sura Nakili




Luka 19:32
3 Marejeleo ya Msalaba  

Na kama mtu akiwauliza, Mbona mnamfungua? Semeni hivi, Bwana anamhitaji.


Na walipokuwa wakimfungua mwanapunda, wenyewe waliwaambia, Mbona mnamfungua mwanapunda?


Wakaenda, wakaona kama alivyowaambia, wakaiandaa Pasaka.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo