Luka 19:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Akaja mwingine akasema, Bwana, hili ndilo fungu lako, ambalo nililiweka salama katika kitambaa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 “Mtumishi mwingine akaja, akasema: ‘Chukua fedha yako; niliificha salama katika kitambaa, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 “Mtumishi mwingine akaja, akasema: ‘Chukua fedha yako; niliificha salama katika kitambaa, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 “Mtumishi mwingine akaja, akasema: ‘Chukua fedha yako; niliificha salama katika kitambaa, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 “Kisha akaja yule mtumishi mwingine, akasema, ‘Bwana, hii hapa fedha yako. Niliitunza vizuri kwenye kitambaa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 “Kisha akaja yule mtumishi mwingine, akasema, ‘Bwana, hii hapa fedha yako. Niliitunza vizuri kwenye kitambaa. Tazama sura |