Luka 19:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Lakini watu wa mji wake walimchukia, wakatuma wajumbe kumfuata na kusema, Hatumtaki huyu atutawale. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Lakini wananchi wenzake walimchukia na hivyo wakatuma wajumbe waende wakaseme: ‘Hatumtaki huyu atutawale.’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Lakini wananchi wenzake walimchukia na hivyo wakatuma wajumbe waende wakaseme: ‘Hatumtaki huyu atutawale.’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Lakini wananchi wenzake walimchukia na hivyo wakatuma wajumbe waende wakaseme: ‘Hatumtaki huyu atutawale.’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 “Lakini raia wa nchi yake walimchukia wakapeleka ujumbe na kusema, ‘Hatutaki huyu mtu awe mfalme wetu.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 “Lakini raiya wa nchi yake walimchukia wakapeleka ujumbe na kusema, ‘Hatutaki huyu mtu awe mfalme wetu.’ Tazama sura |