Luka 18:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC35 Ikawa alipokaribia Yeriko, mtu mmoja kipofu alikuwa ameketi kando ya njia, akiomba sadaka; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Wakati Yesu alipokaribia Yeriko, kulikuwa na mtu mmoja kipofu ameketi njiani akiomba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Wakati Yesu alipokaribia Yeriko, kulikuwa na mtu mmoja kipofu ameketi njiani akiomba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Wakati Yesu alipokaribia Yeriko, kulikuwa na mtu mmoja kipofu ameketi njiani akiomba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Isa alipokuwa anakaribia Yeriko, kipofu mmoja alikuwa ameketi kando ya njia akiomba msaada. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Isa alipokuwa anakaribia Yeriko, kipofu mmoja alikuwa ameketi kando ya njia akiomba msaada. Tazama sura |