Luka 18:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Petro akasema, Tazama, sisi tumeviacha vitu vyetu vyote na kukufuata. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Naye Petro akamwuliza, “Na sisi, je? Tumeacha vitu vyote tukakufuata!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Naye Petro akamwuliza, “Na sisi, je? Tumeacha vitu vyote tukakufuata!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Naye Petro akamwuliza, “Na sisi, je? Tumeacha vitu vyote tukakufuata!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Ndipo Petro akamjibu, “Tazama, tumeacha vyote tulivyokuwa navyo tukakufuata!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Ndipo Petro akamjibu, “Tazama, tumeacha vyote tulivyokuwa navyo tukakufuata!” Tazama sura |