Luka 18:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Akasema, Palikuwa na hakimu katika mji fulani, hamchi Mungu, wala hajali watu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Alisema: “Katika mji mmoja kulikuwa na hakimu ambaye hakuwa anamcha Mungu wala kumjali binadamu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Alisema: “Katika mji mmoja kulikuwa na hakimu ambaye hakuwa anamcha Mungu wala kumjali binadamu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Alisema: “Katika mji mmoja kulikuwa na hakimu ambaye hakuwa anamcha Mungu wala kumjali binadamu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Akawaambia, “Katika mji mmoja palikuwa hakimu ambaye hakumwogopa Mungu wala kumjali mtu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Akawaambia, “Katika mji mmoja alikuwepo hakimu ambaye hakumwogopa Mwenyezi Mungu wala kumjali mtu. Tazama sura |