Luka 18:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Watu wawili walipanda kwenda hekaluni kusali, mmoja Farisayo, wa pili mtoza ushuru. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 “Watu wawili walipanda kwenda hekaluni kusali: Mmoja Mfarisayo, na mwingine mtozaushuru. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 “Watu wawili walipanda kwenda hekaluni kusali: Mmoja Mfarisayo, na mwingine mtozaushuru. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 “Watu wawili walipanda kwenda hekaluni kusali: mmoja Mfarisayo, na mwingine mtozaushuru. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 “Watu wawili walienda Hekaluni kusali, mmoja wao alikuwa Farisayo na mwingine alikuwa mtoza ushuru. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 “Watu wawili walikwenda Hekaluni kusali, mmoja wao alikuwa Farisayo na mwingine alikuwa mtoza ushuru. Tazama sura |