Luka 17:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Tena watawaambia, Tazama, kule! Tazama, huku! Msiondoke mahali mlipo, wala msiwafuate; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Na watu watawaambieni: ‘Tazameni, yuko pale!’ Au ‘Tazameni, yupo hapa!’ Lakini nyinyi msitoke wala msiwafuate. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Na watu watawaambieni: ‘Tazameni, yuko pale!’ Au ‘Tazameni, yupo hapa!’ Lakini nyinyi msitoke wala msiwafuate. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Na watu watawaambieni: ‘Tazameni, yuko pale!’ au ‘Tazameni, yupo hapa!’ lakini nyinyi msitoke wala msiwafuate. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Watu watawaambia, ‘Yule kule!’ au, ‘Huyu hapa!’ Msiwakimbilie. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Watu watawaambia, ‘Yule kule!’ Au, ‘Huyu hapa!’ Msiwakimbilie. Tazama sura |