Luka 17:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Na mmoja wao alipoona kwamba amepona, alirudi, huku akimtukuza Mungu kwa sauti kuu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Mmoja wao alipoona kwamba ameponywa, alirudi akimtukuza Mungu kwa sauti kubwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Mmoja wao alipoona kwamba ameponywa, alirudi akimtukuza Mungu kwa sauti kubwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Mmoja wao alipoona kwamba ameponywa, alirudi akimtukuza Mungu kwa sauti kubwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Mmoja wao alipoona kwamba amepona, akarudi kwa Isa, akimsifu Mungu kwa sauti kuu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Mmoja wao alipoona kwamba amepona, akarudi kwa Isa, akimsifu Mungu kwa sauti kuu. Tazama sura |