Luka 15:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Mafarisayo na waandishi wakanung'unika, wakisema, Mtu huyu huwakaribisha wenye dhambi, tena hula nao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Mafarisayo na waalimu wa sheria wakaanza kunungunika: “Mtazameni mtu huyu! Anawakaribisha wenye dhambi, na tena anakula nao.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Mafarisayo na waalimu wa sheria wakaanza kunungunika: “Mtazameni mtu huyu! Anawakaribisha wenye dhambi, na tena anakula nao.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Mafarisayo na waalimu wa sheria wakaanza kunung'unika: “Mtazameni mtu huyu! Anawakaribisha wenye dhambi, na tena anakula nao.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Lakini Mafarisayo na walimu wa Torati wakanung’unika wakisema, “Huyu mtu anawakaribisha wenye dhambi na kula nao.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Lakini Mafarisayo na walimu wa Torati wakanung’unika wakisema, “Huyu mtu anawakaribisha wenye dhambi na kula nao.” Tazama sura |