Luka 15:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 yule mdogo akamwambia babaye, Baba, nipe sehemu ya mali iliyo uridhi wangu. Akawagawia mali yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Yule mdogo alimwambia baba yake: ‘Baba, nipe urithi wangu.’ Naye akawagawia mali yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Yule mdogo alimwambia baba yake: ‘Baba, nipe urithi wangu.’ Naye akawagawia mali yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Yule mdogo alimwambia baba yake: ‘Baba, nipe urithi wangu.’ Naye akawagawia mali yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Yule mdogo akamwambia baba yake, ‘Baba, nipe urithi wangu.’ Hivyo akawagawia wanawe mali yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Yule mdogo akamwambia baba yake, ‘Baba, nipe urithi wangu.’ Hivyo akawagawia wanawe mali yake. Tazama sura |