Luka 14:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Wao wakanyamaza. Akamshika, akamponya, akamruhusu aende zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Lakini wao wakakaa kimya. Yesu akamshika huyo mgonjwa, akamponya, akamwacha aende zake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Lakini wao wakakaa kimya. Yesu akamshika huyo mgonjwa, akamponya, akamwacha aende zake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Lakini wao wakakaa kimya. Yesu akamshika huyo mgonjwa, akamponya, akamwacha aende zake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Wakakaa kimya. Hivyo Isa akamshika yule mgonjwa mkono na kumponya, akamruhusu aende zake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Wakakaa kimya. Hivyo Isa akamshika yule mgonjwa mkono na kumponya, akamruhusu aende zake. Tazama sura |