Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Luka 14:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

19 Mwingine akasema, Nimenunua ng'ombe jozi tano, ninakwenda kuwajaribu; tafadhali unisamehe.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Mwingine akasema: ‘Nimenunua ng'ombe jozi tano wa kulima, sasa nimo njiani kwenda kuwajaribu; nakuomba uniwie radhi.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Mwingine akasema: ‘Nimenunua ng'ombe jozi tano wa kulima, sasa nimo njiani kwenda kuwajaribu; nakuomba uniwie radhi.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Mwingine akasema: ‘Nimenunua ng'ombe jozi tano wa kulima, sasa nimo njiani kwenda kuwajaribu; nakuomba uniwie radhi.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 “Mwingine akasema, ‘Ndipo tu nimenunua jozi tano za ng’ombe wa kulimia, nami ninaenda kuwajaribu, tafadhali niwie radhi.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 “Mwingine akasema, ‘Ndipo tu nimenunua jozi tano za ng’ombe wa kulimia, nami ninakwenda kuwajaribu, tafadhali niwie radhi.’

Tazama sura Nakili

Luka 14:19
2 Marejeleo ya Msalaba  

Wakaanza wote kutoa udhuru kwa nia moja. Wa kwanza alimwambia, Nimenunua shamba, sharti niende nikalitazame; tafadhali unisamehe.

Mwingine akasema, Nimeoa mke, na kwa sababu hiyo siwezi kuja.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo