Luka 13:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Akajibu akamwambia, Bwana, uuache mwaka huu nao, hata niupalilie, niutilie samadi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Lakini yeye akamjibu: ‘Bwana, tuuache tena mwaka huu; nitauzungushia mtaro na kuutilia mbolea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Lakini yeye akamjibu: ‘Bwana, tuuache tena mwaka huu; nitauzungushia mtaro na kuutilia mbolea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Lakini yeye akamjibu: ‘Bwana, tuuache tena mwaka huu; nitauzungushia mtaro na kuutilia mbolea. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 “Yule mtunza shamba akamjibu, ‘Bwana, uuache tena kwa mwaka mmoja zaidi, nami nitaupalilia na kuuwekea mbolea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 “Yule mtunza shamba akamjibu, ‘Bwana, uache tena kwa mwaka mmoja zaidi, nami nitaupalilia na kuuwekea mbolea. Tazama sura |