Luka 12:51 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC51 Je! Mwadhani ya kwamba nimekuja kuleta amani duniani? Nawaambia, La, sivyo, bali mafarakano. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema51 Mnadhani nimekuja kuleta amani duniani? Hata kidogo; si amani bali utengano. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND51 Mnadhani nimekuja kuleta amani duniani? Hata kidogo; si amani bali utengano. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza51 Mnadhani nimekuja kuleta amani duniani? Hata kidogo; si amani bali utengano. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu51 Mnadhani nimekuja kuleta amani duniani? La, nawaambia sivyo, nimekuja kuleta mafarakano. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu51 Mnadhani nimekuja kuleta amani duniani? La, nawaambia sivyo, nimekuja kuleta mafarakano. Tazama sura |