Luka 12:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Nami nawaambia ninyi rafiki zangu, msiwaogope hao wauuao mwili, kisha baada ya hayo hawana wawezalo kutenda zaidi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 “Nawaambieni nyinyi rafiki zangu: Msiwaogope wale wanaoua mwili, wasiweze kufanya kitu kingine zaidi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 “Nawaambieni nyinyi rafiki zangu: Msiwaogope wale wanaoua mwili, wasiweze kufanya kitu kingine zaidi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 “Nawaambieni nyinyi rafiki zangu: msiwaogope wale wanaoua mwili, wasiweze kufanya kitu kingine zaidi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 “Nawaambieni rafiki zangu, msiwaogope wale wauao mwili, lakini baada ya hilo hawawezi kufanya lolote zaidi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 “Nawaambieni rafiki zangu, msiwaogope wale wauao mwili, lakini baada ya hilo hawawezi kufanya lolote zaidi. Tazama sura |