Luka 12:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 akaanza kuwaza moyoni mwake, akisema, Nifanyeje? Maana sina pa kuyaweka akiba mavuno yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Tajiri huyo akafikiri moyoni mwake: ‘Nitafanyaje nami sina mahali pa kuhifadhia mavuno yangu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Tajiri huyo akafikiri moyoni mwake: ‘Nitafanyaje nami sina mahali pa kuhifadhia mavuno yangu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Tajiri huyo akafikiri moyoni mwake: ‘Nitafanyaje nami sina mahali pa kuhifadhia mavuno yangu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Akawaza moyoni mwake, ‘Nifanye nini? Sina mahali pa kuhifadhi mavuno yangu.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Akawaza moyoni mwake, ‘Nifanye nini? Sina mahali pa kuhifadhi mavuno yangu.’ Tazama sura |