Luka 11:44 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC44 Ole wenu, kwa kuwa mmefanana na makaburi yasiyoonekana, ambayo watu wapitao juu yake hawana habari nayo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema44 Ole wenu, kwa sababu mko kama makaburi yaliyofichika; watu hutembea juu yake bila kufahamu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND44 Ole wenu, kwa sababu mko kama makaburi yaliyofichika; watu hutembea juu yake bila kufahamu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza44 Ole wenu, kwa sababu mko kama makaburi yaliyofichika; watu hutembea juu yake bila kufahamu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu44 “Ole wenu, kwa sababu ninyi ni kama makaburi yasiyokuwa na alama, ambayo watu huyakanyaga pasipo kujua.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu44 “Ole wenu, kwa sababu ninyi ni kama makaburi yasiyokuwa na alama, ambayo watu huyakanyaga pasipo kujua.” Tazama sura |