Luka 11:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC37 Alipokuwa akinena, Farisayo mmoja alimwita aje kwake ale chakula; akaingia, akaketi chakulani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Yesu alipokuwa akiongea, Mfarisayo mmoja alimkaribisha chakula nyumbani kwake, naye akaenda, akaketi kula chakula. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Yesu alipokuwa akiongea, Mfarisayo mmoja alimkaribisha chakula nyumbani kwake, naye akaenda, akaketi kula chakula. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Yesu alipokuwa akiongea, Mfarisayo mmoja alimkaribisha chakula nyumbani kwake, naye akaenda, akaketi kula chakula. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Isa alipomaliza kuzungumza, Farisayo mmoja alimwalika nyumbani mwake kwa chakula. Isa akaingia na kuketi katika sehemu yake mezani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Isa alipomaliza kuzungumza, Farisayo mmoja alimwalika nyumbani mwake kwa chakula. Isa akaingia na kuketi katika sehemu yake mezani. Tazama sura |