Luka 11:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC35 Angalia basi, mwanga ulio ndani yako usije ukawa giza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Uwe mwangalifu basi, mwanga ulio ndani yako usije ukawa giza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Uwe mwangalifu basi, mwanga ulio ndani yako usije ukawa giza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Uwe mwangalifu basi, mwanga ulio ndani yako usije ukawa giza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Kwa hiyo, hakikisha kwamba nuru iliyo ndani yako isiwe giza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Kwa hiyo, hakikisha kwamba nuru iliyoko ndani yako isiwe giza. Tazama sura |