Luka 11:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Wengine walimjaribu, wakimtaka afanye ishara itokayo mbinguni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Wengine, wakimjaribu, wakamtaka afanye ishara kuonesha kama alikuwa na idhini kutoka mbinguni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Wengine, wakimjaribu, wakamtaka afanye ishara kuonesha kama alikuwa na idhini kutoka mbinguni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Wengine, wakimjaribu, wakamtaka afanye ishara kuonesha kama alikuwa na idhini kutoka mbinguni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Wengine ili kumjaribu wakataka awaoneshe ishara kutoka mbinguni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Wengine ili kumjaribu wakataka awaonyeshe ishara kutoka mbinguni. Tazama sura |