Luka 10:39 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC39 Naye alikuwa na dada yake aitwaye Mariamu, aliyeketi miguuni pake Yesu, akasikiliza maneno yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema39 Martha alikuwa na dada yake aitwaye Maria; huyu aliketi karibu na Yesu akisikiliza mafundisho yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND39 Martha alikuwa na dada yake aitwaye Maria; huyu aliketi karibu na Yesu akisikiliza mafundisho yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza39 Martha alikuwa na dada yake aitwaye Maria; huyu aliketi karibu na Yesu akisikiliza mafundisho yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu39 Martha alikuwa na dada yake aliyeitwa Mariamu, ambaye aliketi chini miguuni mwa Bwana Isa akisikiliza yale alikuwa akisema. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu39 Martha alikuwa na mdogo wake aliyeitwa Maria, ambaye aliketi chini miguuni mwa Bwana Isa akisikiliza yale aliyokuwa akisema. Tazama sura |