Luka 10:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Na Mlawi vivyo hivyo, alipofika pale akamwona, akapita kando. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Hali kadhalika na Mlawi mmoja, alipofika mahali hapo akamwona, akapita kando. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Hali kadhalika na Mlawi mmoja, alipofika mahali hapo akamwona, akapita kando. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Hali kadhalika na Mlawi mmoja, alipofika mahali hapo akamwona, akapita kando. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Vivyo hivyo, Mlawi mmoja naye alipofika mahali pale, alimwona, akapita upande mwingine, akamwacha hapo barabarani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Vivyo hivyo, Mlawi mmoja naye alipofika mahali pale, alimwona, akapita upande mwingine, akamwacha hapo barabarani Tazama sura |