Luka 10:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Akawaambia, Nilimwona Shetani, akianguka kutoka mbinguni kama umeme. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Yeye akawaambia, “Nilimwona Shetani jinsi alivyokuwa anaporomoka kama umeme kutoka mbinguni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Yeye akawaambia, “Nilimwona Shetani jinsi alivyokuwa anaporomoka kama umeme kutoka mbinguni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Yeye akawaambia, “Nilimwona Shetani jinsi alivyokuwa anaporomoka kama umeme kutoka mbinguni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Isa akawaambia, “Nilimwona Shetani akianguka kutoka mbinguni kama radi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Isa akawaambia, “Nilimwona Shetani akianguka kutoka mbinguni kama umeme wa radi. Tazama sura |