Luka 10:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Nawe Kapernaumu, je! Utakuzwa hata mbinguni? Utashushwa hata kuzimu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Na wewe Kafarnaumu, je, utajikweza mpaka mbinguni? Utaporomoshwa mpaka kuzimu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Na wewe Kafarnaumu, je, utajikweza mpaka mbinguni? Utaporomoshwa mpaka kuzimu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Na wewe Kafarnaumu, je, utajikweza mpaka mbinguni? Utaporomoshwa mpaka kuzimu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Nawe Kapernaumu, je, utainuliwa hadi mbinguni? La hasha! Utashushwa hadi Kuzimu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Nawe, Kapernaumu, je, utainuliwa hadi mbinguni? La hasha, utashushwa mpaka kuzimu.” Tazama sura |