Luka 1:64 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC64 Papo hapo kinywa chake kikafunguliwa na ulimi wake pia, akaanza kunena akimsifu Mungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema64 Papo hapo, midomo na ulimi wake Zakaria vikafunguliwa, akawa anaongea akimsifu Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND64 Papo hapo, midomo na ulimi wake Zakaria vikafunguliwa, akawa anaongea akimsifu Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza64 Papo hapo, midomo na ulimi wake Zakaria vikafunguliwa, akawa anaongea akimsifu Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu64 Papo hapo kinywa chake kikafunguliwa na ulimi wake pia, akaanza kuongea, huku akimsifu Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu64 Papo hapo kinywa chake kikafunguliwa na ulimi wake ukaachiwa, akawa anaongea akimsifu Mwenyezi Mungu. Tazama sura |