Luka 1:61 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC61 Wakamwambia, Hapana mtu katika jamaa zako aitwaye jina hilo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema61 Wakamwambia, “Mbona hakuna yeyote katika ukoo wake mwenye jina hilo?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND61 Wakamwambia, “Mbona hakuna yeyote katika ukoo wake mwenye jina hilo?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza61 Wakamwambia, “Mbona hakuna yeyote katika ukoo wake mwenye jina hilo?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu61 Wakamwambia, “Hakuna mtu yeyote katika jamaa yako mwenye jina kama hilo.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu61 Wakamwambia, “Hakuna mtu yeyote katika jamaa yako mwenye jina kama hilo.” Tazama sura |