Luka 1:57 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC57 Ikawa, siku za kuzaa kwake Elisabeti zilipotimia, alizaa mtoto mwanamume. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema57 Wakati wa kujifungua kwake Elisabeti ulifika, akajifungua mtoto wa kiume. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND57 Wakati wa kujifungua kwake Elisabeti ulifika, akajifungua mtoto wa kiume. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza57 Wakati wa kujifungua kwake Elisabeti ulifika, akajifungua mtoto wa kiume. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu57 Ulipowadia wakati wa Elizabeti kujifungua, alizaa mtoto wa kiume. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu57 Ulipowadia wakati wa Elizabeti kujifungua, alizaa mtoto mwanaume. Tazama sura |