Luka 1:53 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC53 Wenye njaa amewashibisha mema, Na wenye mali amewaondoa mikono mitupu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema53 Wenye njaa amewashibisha mema, matajiri amewaondoa mikono mitupu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND53 Wenye njaa amewashibisha mema, matajiri amewaondoa mikono mitupu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza53 Wenye njaa amewashibisha mema, matajiri amewaondoa mikono mitupu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu53 Amewashibisha wenye njaa kwa vitu vizuri, bali matajiri amewafukuza mikono mitupu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu53 Amewashibisha wenye njaa kwa vitu vizuri, bali matajiri amewafukuza mikono mitupu. Tazama sura |