Luka 1:50 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC50 Na rehema zake hudumu vizazi hata vizazi Kwa hao wanaomcha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema50 Huruma yake kwa watu wanaomcha hudumu kizazi hata kizazi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND50 Huruma yake kwa watu wanaomcha hudumu kizazi hata kizazi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza50 Huruma yake kwa watu wanaomcha hudumu kizazi hata kizazi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu50 Rehema zake hudumu kizazi hadi kizazi, kwa wale wanaomcha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu50 Rehema zake huwaendea wale wamchao, kutoka kizazi hadi kizazi. Tazama sura |