Luka 1:43 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC43 Limenitokeaje neno hili, hata mama wa Bwana wangu anijie mimi? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema43 Mimi ni nani hata mama wa Bwana wangu afike kwangu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND43 Mimi ni nani hata mama wa Bwana wangu afike kwangu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza43 Mimi ni nani hata mama wa Bwana wangu afike kwangu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu43 Lakini ni kwa nini mimi nimepata kibali kiasi hiki, hata mama wa Bwana wangu afike kwangu? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu43 Lakini ni kwa nini mimi nimepata upendeleo kiasi hiki, hata mama wa Bwana wangu afike kwangu? Tazama sura |