Luka 1:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 upate kujua hakika ya mambo yale uliyofundishwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 ili nawe uweze kujionea mwenyewe ukweli wa mambo yale uliyofundishwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 ili nawe uweze kujionea mwenyewe ukweli wa mambo yale uliyofundishwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 ili nawe uweze kujionea mwenyewe ukweli wa mambo yale uliyofundishwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 ili upate kujua ukweli kuhusu yale uliyofundishwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 ili upate kujua ukweli kuhusu yale uliyofundishwa. Tazama sura |