Luka 1:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Maria aliposikia maneno hayo alifadhaika sana, akawaza: Maneno hayo yanamaanisha nini? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Maria aliposikia maneno hayo alifadhaika sana, akawaza: Maneno hayo yanamaanisha nini? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Maria aliposikia maneno hayo alifadhaika sana, akawaza: maneno hayo yanamaanisha nini? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Mariamu akafadhaishwa sana na maneno haya, akajiuliza moyoni salamu hii ni ya namna gani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Mariamu akafadhaishwa sana na maneno haya, akajiuliza moyoni, “Salamu hii ni ya namna gani?” Tazama sura |