Luka 1:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana katika siku zile alizoniangalia ili kuniondolea aibu yangu mbele ya watu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 “Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana; ameniangalia na kuniondolea aibu niliyokuwa nayo mbele ya watu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 “Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana; ameniangalia na kuniondolea aibu niliyokuwa nayo mbele ya watu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 “Hivi ndivyo alivyonitendea Bwana; ameniangalia na kuniondolea aibu niliyokuwa nayo mbele ya watu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Elizabeti akasema, “Hili ndilo Mwenyezi Mungu alilonitendea aliponipa kibali na kuniondolea aibu yangu mbele ya watu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Akasema, “Hili ndilo Mwenyezi Mungu alilonitendea aliponiangalia kwa upendeleo na kuniondolea aibu yangu mbele ya watu.” Tazama sura |