Kutoka 9:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 tazama, mkono wa BWANA uko juu ya wanyama wako wa mifugo walioko kondeni, juu ya farasi, na juu ya punda, na juu ya ngamia, na juu ya ng'ombe, na juu ya kondoo; kutakuwa na tauni nzito sana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 nitaunyosha mkono wangu na kuleta maradhi mabaya sana juu ya mifugo yenu yote: Ng'ombe, farasi, punda, ngamia, mbuzi na kondoo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 nitaunyosha mkono wangu na kuleta maradhi mabaya sana juu ya mifugo yenu yote: Ng'ombe, farasi, punda, ngamia, mbuzi na kondoo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 nitaunyosha mkono wangu na kuleta maradhi mabaya sana juu ya mifugo yenu yote: ng'ombe, farasi, punda, ngamia, mbuzi na kondoo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 mkono wa Mwenyezi Mungu utaleta pigo baya kwa mifugo yako, juu ya farasi wako, punda, ngamia, ng’ombe wako, kondoo na mbuzi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 mkono wa bwana utaleta pigo baya kwa mifugo yako, juu ya farasi wako, punda, ngamia, ng’ombe wako, kondoo na mbuzi. Tazama sura |