Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Kutoka 9:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 Nao wale waganga hawakuweza kusimama mbele ya Musa kwa sababu ya hayo majipu, kwa maana hao waganga walikuwa na majipu, na Wamisri wote walikuwa nayo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Watu na wanyama wakavamiwa na majipu hata wale wachawi hawakuweza kujitokeza maana wao pamoja na Wamisri wote pia walivamiwa na majipu hayo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Watu na wanyama wakavamiwa na majipu hata wale wachawi hawakuweza kujitokeza maana wao pamoja na Wamisri wote pia walivamiwa na majipu hayo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Watu na wanyama wakavamiwa na majipu hata wale wachawi hawakuweza kujitokeza maana wao pamoja na Wamisri wote pia walivamiwa na majipu hayo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Waganga hawakuweza kusimama mbele ya Musa kwa sababu ya majipu yaliyokuwa kwenye miili yao, na kwenye miili ya Wamisri wote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Waganga hawakuweza kusimama mbele ya Musa kwa sababu ya majipu yale yaliyokuwa miilini mwao na juu ya miili ya Wamisri wote.

Tazama sura Nakili

Kutoka 9:11
8 Marejeleo ya Msalaba  

Wakawakusanya marundo marundo; na nchi ikatoa uvundo.

Basi wakatwaa majivu ya tanuri, na kusimama mbele ya Farao; na Musa akayarusha juu mbinguni nayo yakawa ni majipu yenye kufura na kutumbuka juu ya wanadamu na juu ya wanyama.

Nayo yatakuwa ni mavumbi membamba juu ya nchi yote ya Misri, nayo yatakuwa majipu yenye kufura na kutumbuka juu ya wanadamu na juu ya wanyama, katika nchi yote ya Misri.

Akaenda huyo wa kwanza, akalimimina bakuli lake juu ya nchi; pakawa na jipu baya, bovu, juu ya wale watu wenye chapa ya huyo mnyama, na wale wenye kuisujudia sanamu yake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo