Kutoka 9:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Basi wakatwaa majivu ya tanuri, na kusimama mbele ya Farao; na Musa akayarusha juu mbinguni nayo yakawa ni majipu yenye kufura na kutumbuka juu ya wanadamu na juu ya wanyama. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Basi, wakachukua majivu kutoka kwenye tanuri, wakamwendea Farao, naye Mose akayarusha juu hewani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Basi, wakachukua majivu kutoka kwenye tanuri, wakamwendea Farao, naye Mose akayarusha juu hewani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Basi, wakachukua majivu kutoka kwenye tanuri, wakamwendea Farao, naye Mose akayarusha juu hewani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Basi wakachukua majivu kwenye tanuru na kusimama mbele ya Farao. Musa akayarusha hewani, nayo majipu yenye kufura yakatokea kwenye miili ya watu na ya wanyama. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Basi wakachukua majivu kwenye tanuru na kusimama mbele ya Farao. Musa akayarusha hewani, nayo majipu yenye kufura yakatokea miilini mwa watu na wanyama. Tazama sura |