Kutoka 8:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Farao akaufanya moyo wake kuwa mzito mara hiyo nayo, wala hakuwapa ruhusa hao watu waende zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Lakini hata safari hii Farao alikuwa mkaidi, wala hakuwaruhusu Waisraeli kuondoka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Lakini hata safari hii Farao alikuwa mkaidi, wala hakuwaruhusu Waisraeli kuondoka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Lakini hata safari hii Farao alikuwa mkaidi, wala hakuwaruhusu Waisraeli kuondoka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Lakini wakati huu pia Farao akaufanya moyo wake kuwa mgumu, wala hakuwaruhusu Waisraeli waondoke. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Lakini wakati huu pia Farao akaushupaza moyo wake, wala hakuwaruhusu Waisraeli waondoke. Tazama sura |