Kutoka 8:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC31 BWANA akafanya kama neno la Musa, akawaondoa wale inzi wabaya kwake Farao, na kwa watumishi wake, na watu wake; hakusalia hata mmoja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Mwenyezi-Mungu akafanya kama Mose alivyomwomba, wale nzi wakatoweka kutoka kwa Farao, maofisa wake na watu wake, wala hakusalia hata mmoja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Mwenyezi-Mungu akafanya kama Mose alivyomwomba, wale nzi wakatoweka kutoka kwa Farao, maofisa wake na watu wake, wala hakusalia hata mmoja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Mwenyezi-Mungu akafanya kama Mose alivyomwomba, wale nzi wakatoweka kutoka kwa Farao, maofisa wake na watu wake, wala hakusalia hata mmoja. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 naye Mwenyezi Mungu akafanya lile Musa alilomwomba. Inzi wakaondoka kwa Farao, kwa maafisa wake na kwa watu wake, wala hakuna hata inzi aliyebakia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 naye bwana akafanya lile Musa alilomwomba. Mainzi yakaondoka kwa Farao, kwa maafisa wake na kwa watu wake, wala hakuna hata inzi aliyebakia. Tazama sura |