Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Kutoka 8:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

23 Nami nitatia mpaka kati ya watu wangu na watu wako; ishara hiyo italetwa kesho.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Nitawakinga watu wangu na mambo yatakayowapata watu wako. Mambo hayo yatafanyika kesho.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Nitawakinga watu wangu na mambo yatakayowapata watu wako. Mambo hayo yatafanyika kesho.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Nitawakinga watu wangu na mambo yatakayowapata watu wako. Mambo hayo yatafanyika kesho.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Nitaweka tofauti kati ya watu wangu na watu wenu. Ishara hii ya ajabu itatokea kesho.’ ”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Nitaweka tofauti kati ya watu wangu na watu wenu. Ishara hii ya ajabu itatokea kesho.’ ”

Tazama sura Nakili




Kutoka 8:23
6 Marejeleo ya Msalaba  

Elisha akasema, Lisikieni neno la BWANA; BWANA asema hivi, Kesho panapo saa hii, kipimo cha unga mzuri kitauzwa kwa shekeli, na vipimo viwili vya shayiri kwa shekeli, langoni pa Samaria.


Au, kwamba wakataa kuwapa hao watu wangu ruhusa waende zao, tazama, kesho nitaleta nzige waingie ndani ya mipaka yako;


Nao watakusikia sauti yako; nawe utakwenda, wewe na wazee wa Israeli kwa mfalme wa Misri, na kumwambia, BWANA Mungu wa Waebrania, amekutana nasi; basi sasa twakuomba, tupe ruhusa twende mwendo wa siku tatu jangwani, ili tumtolee dhabihu BWANA Mungu wetu.


Nami siku hiyo nitatenga nchi ya Gosheni, watu wangu wanayokaa, ili hao inzi wasiwe huko; ili kwamba upate kujua wewe ya kuwa mimi ndimi BWANA kati ya dunia.


BWANA akafanya; wakaja inzi wengi kwa uzito sana, wakaingia nyumbani mwa Farao, na katika nyumba za watumishi wake, tena katika nchi yote ya Misri; nayo nchi iliharibiwa na wale inzi.


Naye BWANA akaweka muda, akasema, Kesho BWANA atalifanya jambo hili katika nchi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo